Sera ya Faragha

Inaelezea maelezo tunayoyakusanya na sababu za kuyakusanya, jinsi tunavyoyatumia, na njia ya kuyakagua na kuyasasisha.

Soma Sera yetu ya Faragha

Sheria na Masharti

Hufafanua kanuni unazokubaliana nazo wakati unatumia huduma zetu.

Soma Sheria na Masharti yetu

Kituo cha Usalama cha Google

Kutengeneza bidhaa zinazomfaa kila mtu kunamaanisha kumlinda kila mtu anayezitumia. Tembelea safety.google ili upate maelezo zaidi kuhusu usalama tunaojumuisha, vidhibiti vya faragha na zana za kusaidia kuweka kanuni msingi za kidijitali za familia yako mtandaoni.

Gundua mambo tunayofanya ili kuimarisha usalama wako

Akaunti ya Google

Dhibiti, linda na uimarishe usalama wa akaunti yako katika sehemu moja. Akaunti yako ya Google inakuwezesha kufikia haraka mipangilio na zana zinazokuruhusu kulinda data na faragha yako.

Tembelea Akaunti yako ya Google

Kanuni zetu za Faragha na Usalama

Tunabuni faragha inayomfaa kila mtu. Ni jukumu linaloambatana na kubuni bidhaa na huduma zinazoweza kutumiwa na kila mtu. Tunatumia kanuni hizi kuongoza utengenezaji bidhaa, michakato tunayofuata na watu wetu wanaohudumu ili kudumisha usalama na faragha ya data ya watumiaji wetu.

Kagua kanuni zetu za Faragha na Usalama

Mwongozo wa Faragha wa Bidhaa za Google

Wakati unatumia Gmail, huduma ya Tafuta na Google, YouTube na huduma zingine kutoka Google, una uwezo wa kudhibiti na kulinda maelezo yako ya kibinafsi na historia ya matumizi. Mwongozo wa Faragha wa Huduma za Google unaweza kukusaidia kupata maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti baadhi ya vipengele vya faragha vilivyo kwenye huduma za Google.

Programu za Google
Menyu kuu