Masasisho: Sera ya Faragha

Tunataka kuwa na uwazi kadri iwezekanavyo kuhusu mabadiliko tunayofanya kwa Sera yetu ya Faragha. Katika kumbukumbu hii unaweza kuona matoleo ya awali ya sera hiyo. Pia tumejumuisha ukurasa unaolinganisha sera ya sasa na toleo la awali ili kuifanya rahisi iwezekanavyo kuona ni nini kimebadilika.

Hufunguka katika kichupo kipya(hufungua tanbihi chini ya ukurasa)