Jinsi Google inavyotumia maelezo kutoka kwenye tovuti au programu zinazotumia huduma zetu

Many websites and apps use Google services to market and improve their content and keep it free. When they use these services, they or their partners share information with Google.

Kwa mfano, unapotembelea tovuti inayotumia huduma za utangazaji kama vile AdSense au Google Ads, ikiwa ni pamoja na zana za takwimu kama vile Google Analytics au zinazopachika maudhui ya video kutoka YouTube, kivinjari chako hutuma maelezo fulani kwa Google kiotomatiki. Hii ni pamoja na URL ya ukurasa unaotembelea na anwani yako ya IP. Tunaweza kutumia anwani ya IP kwa mfano, kutambua eneo la jumla uliko, kupima ufanisi wa matangazo na kuboresha ufaafu wa matangazo unayoyaona kulingana na mipangilio yako. Tunaweza pia kuweka vidakuzi kwenye kivinjari chako au kusoma vidakuzi ambavyo tayari vipo. Programu zinazotumia huduma za utangazaji za Google pia huruhusu Google ifikie maelezo kama vile jina la programu na kitambulishi cha kipekee cha utangazaji.

Google uses the information shared by sites, apps and partners to deliver our services, maintain and improve them, develop new services, measure the effectiveness of advertising, protect against fraud and abuse, and depending on your settings, personalize content and ads you see on Google and on our partners’ sites and apps. For example, this information may be used to give you more personalized experiences across Google advertising services used by other advertisers. See our Privacy Policy to learn more about how we process data for each of these purposes and our Advertising page for more about Google ads, how your information is used in the context of advertising, and how long Google stores this information. See My Ad Center for more information on how personalized ads work and how to control what data is used to personalize ads from sites and apps that use our services.

Sera yetu ya Faragha hufafanua misingi ya kisheria ambayo Google hutegemea kuchakata taarifa yako — kwa mfano, tunaweza kuchakata taarifa yako ukituruhusu au kutokana na sababu halali kama vile kutoa, kudumisha na kuboresha huduma zetu ili kukidhi mahitaji ya watumiaji wetu.

Sometimes, when processing information shared with us by sites and apps, those sites and apps will ask for your consent before allowing Google to process your information. For example, a banner may appear on a site asking for consent for Google to process the information that site collects. When that happens, we will use your data for the purposes described in the consent you give to the site or app, rather than for all of the legal grounds described in the Google Privacy Policy. If you want to change or withdraw your consent, you should visit the site or app in question to do so.

Kuweka mapendeleo ya matangazo

Ikiwa kipengele cha kuweka mapendeleo ya matangazo kimewashwa, Google itatumia maelezo yako kuyafanya matangazo yakufae zaidi. Kwa mfano, tovuti ambayo huuza baiskeli za kuendeshwa milimani inaweza kutumia huduma za matangazo ya Google. Baada ya kutembelea tovuti hiyo, unaweza kuona tangazo la baiskeli za kuendeshwa milimani kwenye tovuti nyingine inayoonyesha matangazo yaliyotangazwa na Google.

If ad personalization is off, Google will not collect or use your information to create an ad profile or personalize the ads Google shows to you. You will still see ads, but they may not be as useful. Ads may still be based on contextual factors, such as the topic of the website or app you're looking at, your active searches, information about the videos you’ve just been watching, or your general location. Your information can still be used for the other purposes mentioned above, such as to measure the effectiveness of advertising and protect against fraud and abuse.

Unapotumia tovuti au programu ambayo hutumia huduma za Google, huenda ukaombwa kuchagua ikiwa unataka kuona matangazo yaliyowekwa mapendeleo kutoka kwa watoa huduma za matangazo, ikiwa ni pamoja na Google. Bila kubagua chaguo lako, Google haitaweka mapendeleo ya matangazo unayoyaona ikiwa mipangilio yako ya kuweka mapendeleo ya matangazo imezimwa au akaunti yako haitimizi masharti ya kuonyesha matangazo yaliyowekwa mapendeleo.

Unaweza kuona na kudhibiti maelezo tunayotumia kukuonyesha matangazo kwa kutembelea mipangilio yako ya matangazo.

How you can control the information collected from and shared by sites and apps that use our services:

Here are some of the ways you can control the information that is shared by your device when you visit or interact with sites and apps that use Google services or share information with Google:

  • Mipangilio ya Matangazo hukusaidia kudhibiti matangazo unayoyaona kwenye huduma za Google (kama vile Huduma ya Tafuta na Google au YouTube), au kwenye tovuti na programu zisizo za Google ambazo hutumia huduma za matangazo kutoka Google. Unaweza pia kupata maelezo kuhusu jinsi matangazo yanavyowekwa mapendeleo, kuchagua kutopokea mapendeleo ya matangazo na kuzuia watangazaji mahususi.
  • If you are signed in to your Google Account, and depending on your Account settings, My Activity allows you to review and control data that is saved as history by your activity controls when you use Google services, which may include information we collect from the sites and apps you have visited. You can browse by date and by topic, and delete part or all of your saved activity.
  • Tovuti na programu nyingi hutumia Google Analytics ili kuelewa jinsi wageni wanavyotumia tovuti au programu zao. Ikiwa hutaki Google Analytics itumiwe katika kivinjari chako, unaweza kusakinisha programu jalizi ya kivinjari cha Google Analytics. Pata maelezo zaidi kuhusu Google Analytics na faragha.
  • Hali ya kutumia faraghani kwenye Chrome hukuruhusu udhibiti maelezo ambayo Chrome inahifadhi kwenye kifaa chako unapovinjari wavuti. Pata maelezo zaidi kuhusu hali ya faraghani. Vidakuzi hufutwa baada ya kufunga vichupo na madirisha yako yote ya faraghani, vialamisho na mipangilio yako huhifadhiwa hadi uvifute. Pata maelezo zaidi kuhusu vidakuzi. Kutumia Hali ya faraghani kwenye kivinjari cha Chrome au hali nyingine za kuvinjari kwa faragha hakuzuii ukusanyaji wa data unapotembelea tovuti zinazotumia huduma za Google na Google bado hukusanya data unapotembelea tovuti zinazotumia huduma za Google katika hali za kuvinjari kwa faragha.
  • Vivinjari vingi, ikiwa ni pamoja na Chrome, hukuruhusu uzuie vidakuzi vya washirika wengine. Unaweza pia kufuta vidakuzi vyovyote vilivyopo kwenye kivinjari chako. Lakini kumbuka kwamba hata ikiwa umeondoa au kuzima vidakuzi kwenye kivinjari chako, Google inaweza kutumia maelezo yanayotokana na vidakuzi au teknolojia nyingine za utangazaji kuwekea matangazo mapendeleo isipokuwa ubadilishe mipangilio yako ya matangazo ili uzime matangazo yaliyowekewa mapendeleo. Pata maelezo zaidi kuhusu kudhibiti vidakuzi katika Chrome.
  • Reset or delete your mobile device’s advertising ID for personalized ads based on your Advertising ID.
  • Indicate on the partner website or app’s settings that you do not agree to the use or sharing of cookies or similar technologies for personalized advertising.
Hufunguka katika kichupo kipya(hufungua tanbihi chini ya ukurasa)