Mwongozo wa Faragha wa Bidhaa za Google

Karibu! Makala katika mwongozo huu yatakupa maelezo zaidi kuhusu jinsi bidhaa za Google zinavyofanya kazi na jinsi unavyoweza kudhibiti faragha yako. Ili kupata maelezo zaidi kuhusu ni nini unachoweza kufanya ili kujilinda mwenyewe na familia yako mtandaoni, tembelea Kituo chetu cha Usalama .

Hati za Google (ikiwa ni pamoja na Hati, Majedwali, Slaidi, Fomu, na Michoro ya Google)

Ili upate usaidizi zaidi kuhusu vidhibiti vya faragha katika bidhaa zetu, angalia Kituo chetu cha Usaidizi wa Faragha.

Programu za Google
Menyu kuu