Jinsi Google hutumia nambari za kadi za mikopo kwa shughuli za malipo

Google hutumia nambari za kadi za mikopo na malipo unazotoa kulipia huduma au bidhaa unazonunua mtandaoni au nje ya mtandao, ikiwemo miamala ya Google Play na Google Pay na kwa madhumuni ya kuzuia ulaghai. Ilani ya Faragha ya Google Payments hutoa maelezo zaidi kuhusu jinsi tunavyotumia maelezo yako ya akaunti na malipo, yakiwemo maelezo tunayokusanya na jinsi tunavyoyashiriki. Tunashiriki tu maelezo ya binafsi na washirika wengine kwa mujibu wa Ilani ya Faragha ya Google Payments. Nambari za kadi za mikopo na malipo unazoipa Google husimbwa kwa njia fiche na kuhifadhiwa kwenye seva salama katika eneo salama.

Programu za Google
Menyu kuu