Teknolojia

Hapa Google, tunazingatia mawazo na bidhaa zinazopita mipaka ya teknolojia zilizopo. Tukiwa kampuni inayowajibika, tunajitahidi kuhakikisha kuwa uvumbuzi wowote unawiana na kiwango kifaacho cha faragha na usalama kwa watumiaji wetu. Kanuni zetu za Faragha husaidia kuelekeza uamuzi tunaofanya katika kila kiwango cha kampuni yetu, ili kusaidia kuwalinda na kuwawezesha watumiaji wetu tunapotimiza wito wetu unaoendelea wa kupanga maudhui ya ulimwengu.

Programu za Google
Menyu kuu