Masasisho: Sheria na Masharti
Tunataka kutoa maelezo kwa njia ya wazi kadri tuwezavyo kuhusu mabadiliko tunayofanya katika Sheria na Masharti yetu. Katika kumbukumbu hii unaweza kuona matoleo ya Sheria na Masharti yetu tangu mwaka wa 1999 hadi sasa. Pia tumelinganisha kila toleo na toleo la awali ili uone mambo yaliyobadilika kwa urahisi.
