Orodha ya huduma na sheria na masharti ya ziada ya huduma mahususi

Huduma zinazotumia Sheria na Masharti ya Google na sera na sheria na masharti ya ziada ya huduma mahususi

Sheria na Masharti ya Google yanatumika kwenye huduma zilizoorodheshwa hapa chini. Kando ya kila huduma, tunaorodhesha pia sheria na masharti na sera za ziada zinazotumika kwenye huduma hiyo mahususi. Sheria na Masharti, sheria na masharti ya ziada na sera hufafanua uhusiano wetu na matarajio ya pamoja unapotumia huduma hizi.

Orodha hii inajumuisha tu huduma zinazosimamiwa na Sheria na Masharti ya jumla ya Google. Idadi chache ya huduma maarufu, kama vile YouTube, zina sheria na masharti yazo kwa sababu ya vipengele vyao vya kipekee. Bidhaa zetu nyingi za biashara zinazotozwa ada na bidhaa za API za wasanidi programu zina masharti yazo pia.

Huwa tunazindua huduma mpya na wakati mwingine tunasasisha sheria na masharti na sera zetu. Tunajitahidi kuhakikisha ukurasa huu umesasishwa na tunalenga kuuonyesha upya mara kwa mara.

Huduma
 
Programu za Google
Menyu kuu