Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"matangazo ambayo utapata ni muhimu zaidi"

Mifano

  • Kwa mfano, ikiwa mara kwa mara unatembelea tovuti na blogu kuhusu kilimo cha bustani, unaweza kuona matangazo kuhusu kilimo cha bustani unapovinjari wavuti. Na ikiwa unatazama video kuhusu kuoka kwenye YouTube, unaweza kuona matangazo zaidi ambayo yanahusiana na kuoka. Pata maelezo zaidi.
  • Tunatumia anwani yako ya sasa ya IP ili kukadiria eneo, ili tuweze kutoa matangazo kwako ya huduma ya karibu ya uwasilishaji piza ukitafuta "piza", au tunaweza kukuonyesha wakati wa maonyesho ya sinema iliyo karibu ukitafuta "sinema." Pata maelezo zaidi.
  • Mfumo wetu unaweza kuchanganua kiotomatiki maudhui katika huduma zetu, kama vile barua pepe katika Gmail, ili kukupa matangazo muhimu zaidi. Kwa hivyo, kama hivi karibuni umepokea barua nyingi kuhusu upigaji picha au kamera, kwa mfano, unaweza taka kusikia kuhusu toleo kutoka kwa duka la karibu la kamera. Kwa upande mwingine, kama umeripoti barua hizi kama barua taka, pengine hutaki kuona toleo hilo. Aina hii ya kuchakata kiotomatiki hutumika na huduma nyingi za barua pepe, kutoa vipengele kama uchujaji wa barua taka na kukagua tahajia. Matangazo ya kulenga katika Gmail ni ya otomatiki, na hakuna binadamu wanasoma barua pepe yako au maelezo ya Akaunti ya Google ili kukuonyesha matangazo au maelezo yanayohusika. Pata maelezo zaidi kuhusu matangazo katika Gmail hapa.
Programu za Google
Menyu kuu