Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"kusanya maelezo"

Mifano

  • Hii inajumuisha maelezo kama data yako ya matumizi na mapendeleo, barua za Gmail, wasifu kwenye Google+, picha, video, historia ya kuvinjari, utafutaji ramani, hati, au maudhui mengine yaliowekwa na Google. Mifumo yetu ya kiotomatiki huchanganua maelezo haya yanapotumwa na kupokelewa na wakati yanahifadhiwa.
  • Hii inaweza kujumuisha maudhui yoyote yanapopitia katika mifumo yetu. Kwa mfano, tunaweza kutumia maelezo katika kikasha chako cha Gmail ili kukupa arifa za ndege na chaguo za kuingia, maelezo katika wasifu wako kwenye Google+ ili kukusaidia kuungana na miduara yako kupitia barua pepe, na maelezo katika vidakuzi vyako vya historia ya wavuti ili kukupa matokeo husika zaidi ya utafutaji.
Programu za Google
Menyu kuu