Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"ungana na watu"

Mifano

  • Kwa mfano, unaweza kupata mapendekezo ya watu ambao unaweza kujua au unataka kuungana nao kwenye Google+, kulingana na miunganisho uliyo nayo na watu kwenye bidhaa zingine za Google, kama Gmail na watu walio na muunganisho nawe wanaweza kuona wasifu wako kama pendekezo. Pata maelezo zaidi.
  • Google+ hufanya kuungana na watu kwenye wavuti kama kuungana na watu katika ulimwengu halisi. Kwa hiyo sisi tunapendekeza ya kwamba utumie jina lako la kwanza na la mwisho kama jina lako la wasifu kwenye Google+ kwa sababu inaifanya iwe rahisi kwako kuungana na watu unaojua, na inaifanya rahisi kwao kukupata. Pata maelezo zaidi.
Programu za Google
Menyu kuu