Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"tengeneza mpya"

Mifano

Kwa mfano, programu ya Google ya kukagua tahajia ilisanidiwa kwa kuchanganua utafutaji wa awali ambapo watumiaji walisahihisha tahajia yao wenyewe. Programu hii sasa inaweza kusahihisha kiotomatiki makosa yoyote ya tahajia, inakuokolea wakati na juhudi. Pata maelezo zaidi.

Programu za Google
Menyu kuu