Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"mchakato wa kisheria au ombi la kuamrishwa la kiserikali"

Mifano

Kama makampuni mengine ya teknolojia na mawasiliano, mara kwa mara Google hupokea maombi kutoka kwa serikali na mahakama duniani kote ya kutoa data ya mtumiaji. Kuheshimu faragha na usalama wa data unayohifadhi kwenye Google ndiyo kanuni tanayofuata tunapopokea maombi haya ya kisheria. Timu yetu ya kisheria hukagua kila ombi, bila ya kujali aina, na mara nyingi sisi hukataa wakati maombi yanaonekana kuwa mapana au yasiyofuatilia utaratibu sahihi. Pata maelezo zaidi katika Ripoti yetu ya Uwazi.
Programu za Google
Menyu kuu