Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"kulinda"

Mifano

Kwa mfano, sababu moja sisi hukusanya na kutathmini anwani za IP na vidakuzi ni kulinda huduma zetu dhidi ya matumizi mabaya otomati.

Matumizi haya mabaya huchukua njia nyingi, kama vile kutuma taka kwa watumiaji wa Gmail, kuiba pesa kwa ulaghai kutoka kwa watangazaji kwa kubofya vizivyo kwenye matangazo, au kukomesha maudhui kwa kuzindua shambulizi la Distributed Denial of Service (DDoS).

Programu za Google
Menyu kuu