Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"huduma za utangazaji"

Mifano

  • Kwa mfano, ikiwa mara kwa mara unatembelea tovuti na blogu kuhusu kilimo cha bustani ambazo zinaoonyesha matangazo yetu, unaweza kuanza kuona matangazo yanayohusiana na kipendwa hiki unapovinjari mtandao. Pata maelezo zaidi.
  • Mfano mwingine ni kuuza tena, ambacho ni kipengele kinachowezesha watangazaji wetu kufikia watu ambao wametembelea tovuti yao awali na matangazo yanayohusiana zaidi. Kwa hivyo ikiwa umeangalia kiatu maalum kwenye tovuti ya duka lako unalopenda la viatu mtandaoni, unaweza kuanza kuona matangazo ya kiatu hicho kote kwenye wavuti. Pata maelezo zaidi.
Programu za Google
Menyu kuu