Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"na washirika wetu"

Mifano

Tunaruhusu wanabiashara wanaoaminika kutumia vidakuzi au teknolojia kama hizo kwa malengo ya utangazaji na utafiti kwenye huduma zetu.

Kwa mfano, tunakubaliana na kampuni za upimaji, zinazotumia vidakuzi au teknolojia sawa kupata maelezo kuhusu hadhira ya huduma zetu, kama vile demografia ya watumiaji wa huduma wanaotazama video au tangazo la YouTube. Mfano mwingine ni wauzaji kwenye kurasa zetu za ununuzi, ambao hutumia vidakuzi kuelewa ni watumiaji wangapi wanaoona bidhaa zao kwenye ukurusa unaoorodhesha bidhaa.

Programu za Google
Menyu kuu