Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"Na vifaa vingine vya kubaini"

Mifano

Huenda kifaa chako kikawa na vifaa vya kubaini ambavyo hutoa maelezo ili kusaidia kuelewa vyema eneo lako. Kwa mfano, kipima mchapuko kinaweza kutumiwa kubainisha vitu kama kasi, au gurudumu tuzi ili kujua mwelekeo wa usafiri.
Programu za Google
Menyu kuu