Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"kushiriki"

Mifano

  • Kwa mfano, kwenye Google+, una chaguo mbalimbali za kushiriki. Unaweza kushiriki machapisho hadharani au na kikundi kidogo, au unaweza kuyafunga ili yasishirikiwe au uyafanye wazi kwa kila mtu kusambaza. Pata maelezo zaidi.
  • Mpangilio wa Mapendekezo kutoka miduara yako unadhibiti ikiwa marafiki wako wataona jina na uso wako kando ya kitufe cha +1 katika matangazo wakati wanaangalia bidhaa au nembo ambayo ume +1. Pata maelezo zaidi.
Programu za Google
Menyu kuu