Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"Maeneo ya kufikia Wi-Fi na minara ya mitandao"

Mifano

Kwa mfano, unaweza kuwasha Huduma ya Mahali ya Google ili kuboresha programu zinazotegemea mahali kwenye kifaa chako. Ikiwa unatumia Huduma ya Mahali ya Google, kifaa chako hutuma maelezo kuhusu maeneo ya kufikia Wi-Fi yaliyo karibu (kama vile anwani ya MAC na nguvu ya ishara) na minara ya mitandao kwa Google ili kusaidia kubainisha mahali ulipo. Unaweza kutumia mipangilio ya kifaa ili kuwasha Huduma za Mahali za Google.

Pata maelezo zaidi.

Programu za Google
Menyu kuu