Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"inaweza kosa kufanya kazi vizuri"

Mifano

Kwa mfano, tunatumia kidakuzi kinachoitwa 'Ibcs' ambacho kinafanya iwezekane kwako kufungua Hati nyingi za Google katika kivinjari kimoja. Kuzuia kidakuzi hiki kunaweza kuzuia Hati za Google kutenda kazi vizuri. Pata maelezo zaidi.

Programu za Google
Menyu kuu